HAWAJAWEKA wazi lakini tafsiri ya kiufundi ni kwamba Azam FC wako kwenye harakati za kujiandaa na lolote kwenye nafasi ya Feisal Salum ‘Fei Toto’ Staa huyo…
Browsing: KITAIFA
INAELEZWA kuwa Jean Ahoua kiungo mshambuliaji wa Simba SC chaguo la kwanza la Kocha Mkuu Fadlu Davids kwenye mechi za ushindani ndani ya msimu wa 2024/25…
Meridianbet wamekuja na fursa ya kipekee kwa wateja wake ambapo kwa shilingi 5000 pekee inampa nafasi ya kuondoka na simu janja aina ya Samsung A25, hivyo…
SIMBA imekataa ofa ya Sh 500Mil kutoka Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini ya kumuuza kiungo wake mshambuliaji , Kibu Denis katika msimu ujao. Inaelezwa sababu ya…
Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, inatarajiwa kushuka dimbani usiku wa leo kuwakabili wenyeji wao, Bafana Bafana ya Afrika Kusini, katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa utakaopigwa…
NYOTA wawili kutoka Azam FC ambao wanatajwa kuwa kwenye rada za mabosi wa Yanga SC wametajwa na bosi wa kutoka mitaa ya Jangwani. Ni Feisal Salum…
FT: Uwanja wa New Amaan Complex Simba SC 1-1 RS Berkane, (1-3) RS Berkane wanapata bao la kuweka usawa dakika ya 90. Dakika ya 70 Steven…
Katika ardhi ya Tanzania Mnyama Simba hajawahi kushindwa kitu. Mifano iko mingi. Mingi mno. Naamini kila shabiki wa Simba SC atatimiza jukumu pake mama kimsingi. Kushangilia…
Naibu Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu katika bunge jana Tarehe 24, May alikumbusha bunge hilo kuwa Jumapili ya leo kuna jambo muhimu la kitaifa. Akizungumza…
BAADA ya kiungo mshambuliaji wa Yanga SC Aziz Ki taarifa kueleza kuwa anaondoka ndani ya kikosi hicho kuelekea Wydad inaelezwa kuwa kuna nyota mwingine tena anaondoka…