SIMBA SC inayonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids raia wa Afrika Kusini ipo katika harakati za kumsajili kipa wa JKT Tanzania, Yakoub Seleman katika msimu ujao.…
Browsing: KITAIFA
KIUNGO wa Simba SC, Deborah Mavambo ambaye ni ingizo jipya katika kikosi hicho kwa msimu uliogota mwisho wa 2024/25 yupo kwenye mtego ndani ya kikosi hicho…
HASHEEM Ibwe, Ofisa Habari wa Klabu ya Azam FC inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara, ametangaza nia ya kuwania ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi, (CCM)…
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limewataka waombaji wote wa nafasi ya uongozi kwenye Uchaguzi Mkuu wa TFF utakaofanyika Agosti 16 mwaka huu Jijini Tanga…
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara wametua Mbeya kwa ajili ya maandalizi ya mwisho ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Tanzania Prisons. Mchezo…
KUELEKEA kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara mzunguko wa pili kati ya KenGold vs Simba SC Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, hesabu kali zinapingwa kwa timu…
KOCHA Mkuu wa Yanga SC, Miloud Hamdi amesema kuelekea kwenye mchezo wao wa mzunguko wa pili dhidi ya Tanzania Prisons msimu wa 2024/25 ambacho wanahitaji ni…
Uongozi wa timu ya Fountain Gate FC yenye makazi yake Babati mkoani Manyara imemsimamisha nyota wao Salum Kihimbwa kwa muda usiojulikana kutokana na utovu wa nidhamu.…
Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) inapenda kuwataarifu wadau wote wa mpira wa miguu kuwa Uchaguzi Mkuu wa TFF utafanyika tarehe…
Klabu ya Yanga imejibu mapigo baada ya Shirikisho la soka Tanzania (TFF) kudai klabu hiyo fedha zao za zawadi katika mashindano mbalimbali zikatwe kulipia malipo wanayotakiwa…