KIMATAIFA
-
AL AHLY WASOTA GHANA, WAOMBA MECHI KUSONGEZWA MBELE
Mabingwa wa Afrika kwa ngazi ya klabu Al Ahly kutoka nchini Misri wamejikuta katika wakati mgumu wakiwa huko nchini Ghana…
Read More » -
LIVERPOOL WAPINDUA MEZA NYUMBANI
WAKIWA Anflield wamebakiza pointi tatu mazima kwa USHINDI dhidi ya Luton Town mchezo wa Premier League. Wababe hao walipindua meza kibabe wakiwa nyumbani na kukomba pointi…
Read More » -
MASHABIKI GHANA WAANDAMANA KISA MATOKEO AFCON
MAMIA ya mashabiki wa soka nchini Ghana wameingia mitaani katika mji mkuu wa nchi hiyo Accra wakitaka utawala bora wa…
Read More » -
MASHABIKI WAWEKA MABANGO HAWAMTAKI ALLEGRI
Mashabiki wa Juventus walipia matangazo ya mabango yaliyoandikwa ‘Allegri Out’ sehemu mvbalimbali ikiwemo katika eneo la Times Square huko New…
Read More » -
ACHA WABEBE NDOO WAMEJUA KUJIPAMBANIA
Wenyeji wa Fainali za Afcon 2023, Ivory Coast imetwaa taji la michuano hiyo mikubwa Afrika baada ya kuifunga Nigeria mabao…
Read More » -
“WANAOCHEZA HOVYO AFCON NDIO WANASHINDA MECHI”
Kocha wa Timu ya Taifa Afrika Kusini, Hugo Broos baada ya jana kupoteza mchezo wao wa nusu fainali ya #AFCON2023 dhidi ya…
Read More » -
BERGVALL AIKATAA BARCA AJIUNGA NA SPURS
Lucas Bergvall raia wa Sweden (18), Kinda anayecheza nafasi ya kiungo rasmi amemwaga wino kwenye klabu ya Tottenham akitokea klabu…
Read More » -
CAF, FIFA WAOMBWA KUMCHUNGUZA ETO’O
Rais wa Chama cha Soka Cameroon (Fecafoot), Samuel Eto’o ambaye ni mchezaji wa zamani pia wa Taifa hilo ametuhumiwa kuhusika…
Read More » -
RONALDO KUIKOSA INTER MIAMI ANAYOCHEZA MESSI
Kocha Luis Castro wa klabu ya Al Nassr nchini Saudi Arabia, amethibitisha kuwa mchezaji nyota Cristaino Ronaldo (38) ataikosa mechi…
Read More » -
ATAJIRIKA KUPITIA MAMELODI ANUNUA TIMU
Timu ya Mamelodi Sundowns imetangaza kuachana na aliyekuwa mchezaji wao Gift Motupa baada ya kuonyesha kiwango kibovu msimu huu hali…
Read More »