KIMATAIFA
-
BAYER LEVERKUSEN YABEBA UBINGWA KWA MARA YA KWANZA
HUU ni wakati ambao mashabiki wa Bayer Leverkusen wameusubiri kutoka kizazi kimoja kwenda kingine, Kutoka kutaniwa ‘Neverkusen’ hadi kubeba ubingwa…
Read More » -
TETESI ZA SOKA ULAYA – JUMAPILI TAREHE 14.4.2024
Manchester United wanapanga kumuuza winga wa Brazil Antony, 24, msimu wa joto kwa kiwango “kinachokubalika”, huku winga wa Crystal Palace…
Read More » -
TETESI ZA SOKA ULAYA – JUMAMOSI 13.04.2024
Manchester City wanaweza kutumia vyema nia ya Lucas Paqueta ya kuondoka West Ham msimu ujao – lakini iwapo tu uchunguzi…
Read More » -
NABI ANAVYOKIMBIZA KWA REKODI MPYA
Kocha wa zamani wa Yanga, Nasreddine Nabi anaendelea kuandika historia katika vitabu vya FAR Rabat kutokana na kukimbiza rekodi ya…
Read More » -
INASIKITISHA: SABABU YA BEKI WA KAIZER CHEIFS KUPIGWA RISASI
Beki wa timu ya Kaizer Chiefs ya nchini Afrika Kusini, Luke Fleurs [24] amefariki Dunia baada ya kupigwa risasi na…
Read More » -
MAMELODI: WAPINZANI WA YANGA VITANI SIKU YA LEO
Siku tatu kabla ya kurudiana na Yanga SC katika Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL), Mamelodi Sundowns leo…
Read More » -
TETESI ZA SOKA ULAYA – JUMATATU TAREHE 01.04.2024
Liverpool wameungana na Manchester United na Chelsea katika mbio za kumsajili kiungo wa kati wa Benfica na Ureno Joao Neves,…
Read More » -
USM ALGER YACHAPWA NIGERIA ‘CAFCC’
Bingwa mtetezi wa Kombe la Shirikisho Afrika, USM Alger amepokea kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa Rivers United kawenye Uwanja…
Read More » -
MOKWENA AUKUBALI MZIKI WA YANGA
KOCHA Mkuu wa Mamelodi Sundowns FC, Rulani Mokwena amesema amekutana na Yanga ngumu ndani ya dakika 90′ kama alivyotarajia katika…
Read More » -
ALONSO HANA MPANGO WA KUONDOKA LEVERKUSEN
Xabi Alonso anasema atasalia katika nafasi yake kama meneja wa Bayer Leverkusen msimu ujao kwani anaamini klabu hiyo ndio “mahali…
Read More »