KIMATAIFA
-
NIGERIA YALAZIMISHWA SARE NYUMBANI DHIDI YA AFRIKA KUSINI, ZAMBIA YACHAPWA
Nigeria imelazimishwa sare ya 1-1 nyumbani dhidi ya Afrika Kusini katika dimba la Godswill Akpabio, Uyo Nigeria kwenye mchezo wa…
Read More » -
ENGLAND YAPOTEZA MECHI YAKE YA MWISHO KABLA YA KUANZA KWA EURO 2024
England imepoteza mechi yake ya mwisho kabla ya kuanza kwa michuano ya kombe la Mataifa Ulaya EURO 2024 kufuatia kipigo…
Read More » -
MBAPPE ATHIBITISHA KUONDOKA PSG MWISHONI MWA MSIMU
Mshambuliaji wa PSG, Kylian Mbappé amethibitisha kuwa ataondoka klabuni hapo mwisho wa msimu huu. Mbappé amesema hayo kupitia picha jongeo…
Read More » -
NI DORTMUND NA MADRID FAINALI YA MABINGWA ULAYA
Mabao mawili ya dakika za majeruhi yaliyofungwa na Mato Joselu yalitosha kwa Real Madrid kupindua meza na kuichapa Bayern Munich…
Read More » -
LIVERPOOL WAFUFUA MATUMAINI YAO YA KUTWAA UBINGWA WA LIGI KUU ENGLAND
Liverpool wamefufua matumaini yao ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu England kufuatia ushindi mnono wa 4-2 dhidi ya Tottenham Hotspur…
Read More » -
TETESI ZA SOKA ULAYA – JUMAMOSI 27.4.2024
Manchester United wako tayari kumwachia mlinzi wa zamani wa Ufaransa Raphael Varane, 31, kuondoka bure mkataba wake utakapokamilika msimu huu…
Read More » -
MAMELODI SUNDOWNS CHALII, YATOLEWA LIGI YA MABINGWA AFRIKA
Safari ya Timu ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini katika Ligi ya Mabingwa Afrika imeishia Nusu Fainali baada ya kufungwa…
Read More » -
KISA CHA UGOMVI WA ALGERIA NA MOROCCO UPO HIVI A-Z
Nakumbuka ilikuwa Januari 2022, wakati mashindano ya AFCON 2021, yanaendelea kule Cameroon. Baada ya mchezo wa hatua ya makundi kati…
Read More » -
MSHUKIWA WA MAUAJI UWANJANI AKAMATWA, MAREHEMU ALICHOMWA KISU
Mwanaume mmoja ameshtakiwa baada ya kukutwa na hatia kutokana na mwanaume mwenye umri wa miaka 46 kutoka Uingereza na Nigeria kuchomwa kisu hadi kufa…
Read More » -
KOMBE LA SHIRIKISHO LAVURUGWA NA SIASA, CAF WAINGILIA KATI, WATOA USHINDI WA MEZANI KWA TIMU HII
Shirikisho la Sola Barani Afrika (CAF) limewapa Klab ya RS Berkane ushindi wa Mabao 3 dhidi ya USM Algers ya nchini…
Read More »