Kinda mahiri wa FC Barcelona, Lamine Yamal, ametia saini mkataba mpya wa muda mrefu na klabu hiyo, ambao utamuweka Camp Nou hadi tarehe 30 Juni 2031. Tangazo hilo lilifanywa rasmi na Barcelona Jumanne, na limeambatana na hatua ya kihistoria ambapo Yamal amekabidhiwa rasmi jezi namba 10, namba yenye
Rulani Mokwena ametambulishwa rasmi na MC Alger kuwa kocha mkuu wa Mabingwa hao wa Ligi Kuu ya Nchini Algeria akichukua nafasi ya Khaled Ben Yahiam aliyepewa mkono wa kwaheri hivi karibuni. Kocha huyo mwenye umri wa miaka 38 raia wa Afrika Kusini ambaye ambaye alikuwa anakinoa kikosi cha Wydad Casab
FIFA Club World Cup 2025 mashindano haya yalianza kurindima Juni 14 na kugota mwisho Julai 13 2025 ambapo ni Chelsea kutoka England ilitwaa taji hilo mbele ya PSG kwa ushindi wa mabao 3-0 ni usiku wa kuamkia Juni 14 fainali ilichezwa. Ni mabao ya Cole Palmer ambaye alifunga mabao mawili dakika 22 na
Percy Muzi Tau amefikia makubaliano kuvunja mkataba wake na Qatar SC baada ya miezi Sita tu klabuni hapo… Tau sasa ni mchezaji huru sokoni anaweza kujiunga na klabu yoyote itayofikia makubaliano nae.
Aliyekuwa kocha mkuu wa klabu ya Manchester United Erik Ten Hag amesaini rasmi leo kuwa kocha mpya wa Bayer Leverkusen. Klabu ya Bayer Leverkusen imethibitisha kuwa Ten Hag amerithi rasmi mikoba ya aliyekuwa kocha wao Xabi Alonso, Huku Ten Hag amesaini mkataba wa miaka miwili hadi Juni 2027. Xabi am
KIUNGO mshambuliaji mpya ndani ya kikosi cha Wydad Casablanca, Aziz Ki tayari ameanza mazoezi na timu hiyo mara baada ya kumtambulisha. Ikumbukwe kwamba Ki aliibuka ndani ya timu hiyo akitokea kikosi cha Yanga SC kinachonolewa na Kocha Mkuu, Miloud Hamdi. Mchezo wa mwisho akiwa na uzi wa Yanga SC il
Alonso aliyekuwa mchezaji na mshindi wa taji la Ligi ya Mabingwa akiwa na Real Madrid anaenda kurithi mikoba ya aliyekuwa kocha wake akiwa Madrid Carlo Ancelotti aliyeaga jana. Alonso atahudumu Bernabeu hadi Mwaka 2028.