-
BOXING
YANGA YAINGIA MCHECHETO KUWAKABILI DODOMA JIJI
KUELEKEA mchezo wa CRDB Federation Cup raundi ya nne kati ya Dodoma Jiji dhidi ya Yanga, mabingwa watetezi wa taji hilo wameonekana kuwahofia…
Read More » -
BOXING
HAKUNA KUPOA SIMBA YAWAFUATA IHEFU SINGIDA
BAADA ya kukamilisha kete kwenye CRDB Federation dhidi ya Mashujaa ya Kigoma, Aprili 10 msafara wa kikosi cha Simba umeanza kuelekea Singida. Ipo wazi kwamba…
Read More » -
BOXING
HASIRA ZA SIMBA KUANZA NA MASHUJAA
UONGOZI wa Simba umebainisha kwamba upo tayari kwa mchezo wao wa raundi ya nne dhidi ya Mashujaa ya Kigoma mwisho wa reli kwenye…
Read More » -
BOXING
BENCHIKHA: LIGI YA MABINGWA INAHITAJI UZOEFU
Kocha Mkuu wa Simba SC, Abdelhak Benchikha amesema kwamba mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika inahitaji uzooefu mkubwa ili kuweza…
Read More » -
BOXING
MASHUJAA HAWAPO NYUMA, WATUMA UJUMBE MZITO SIMBA
WAPINZANI wa Simba, Mashujaa Fc kwenye mchezo wa leo Uwanja wa Lake Tanganyika, Mashujaa wamekataa unyonge mbele ya Mnyama kwa…
Read More » -
BOXING
MECHI YA SIMBA NA YANGA KUPIGWA ‘APRIL 20’
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetangaza tarehe ya mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Yanga na Simba “Kariakoo…
Read More » -
BURUDANI
MWANASPOTI LEO – RIPOTI YA BENCHIKHA, YAVUTA WATANO WAPYA SIMBA
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Mwanaspoti leo na Usipitwe na habari kali zilizochomoza kwenye anga la kimichezo Jumatatu…
Read More » -
BOXING
MANARA AJIBIZANA NA MWAMAUZI ALIYEWAUA YANGA SAUZI
Kwa mara ya kwanza Mwamuzi wa kati aliyechezesha mechi ya juzi kati ya Mamelodi Sundowns na Yanga Beida Dahane raia…
Read More » -
KITAIFA
SIMBU ASHIKA NAFASI YA TATU KOREA KUSINI
Mwanariadha raia wa Tanzania Alphonce Felix Simbu ameshika nafasi ya tatu kwenye mbio za Daegu [ Daegu Marathon ] zilizofanyika…
Read More » -
BOXING
KIKOSI CHA SIMBA CHAWASILI NCHINI
WAWAKILISHI wa Tanzania Simba kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika tayari wapo ndani ya jiji la Dar. Timu hiyo ilikuwa nchini Misri kwa ajili ya mechi…
Read More »