KITAIFA
AUCHO NA MUKWALA WAITWA TIMU YA TAIFA UGANDA

Kiungo wa klabu ya Yanga na Nahodha wa Timu ya Taifa ya Uganda Khalid Aucho pamoja na Mshambuliaji wa klabu ya Simba Steven Mukwala wameitwa kwenye kikosi cha Timu ya Taifa ya Uganda kwa ajili ya michezo miwili ya kufuzu Kombe la Dunia.