KITAIFA

AFRIKA SASA INAANZA KUTUTAMBUA SISI NI NANI

Ameandika Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe.Hamis Mwinjuma

“Kuna mahala tumepafikia na mpira wetu. Bado tuna safari ya kufanya mambo ya hivi kuwa YA KAWAIDA,ila hatupo tulipokuwa.

Asante sana Mwanamichezo namba moja nchini Mhe Rais Dkt @samia_suluhu_hassan kwa kuwa na moyo wa kuunga mkono juhudi za vijana wako bila kuchoka,unawapa sana moyo wa kuongeza juhudi na matokeo yanaonekana.

Asanteni sana @yangasc na @simbasctanzania kwa msimu huu mzuri kuliko yote tuliyowahi kuwa nayo Afrika. Twendeni nusu fainali sasa rekodi zinyooke zaidi. Ushindani wenu una faida kubwa kwa nchi yetu.

Na ya pili jinsi Afrika inavyotuona mbali sasa hivi”

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button