Kiungo bora wa muda wote wa Hispania na klabu ya Barcelona Andres Iniesta ametangaza rasmi kustaafu kucheza soka.
Katika maisha yake ya soka Iniesta ameshinda mataji haya;
🏆 World Cup
🏆 2x Euro
🏆 4x Champions League
🏆 9x LaLiga
🏆 3x Club World Cup
🏆 3x Super Cup
🏆 6x Copa del Rey
🏆 7x SuperCopa
🏆 1x Japanese Champion
🏆 1x Japanese Cup
🏆 1x Japanese Super Cup
Neno moja kwa huyu Mwamba.