“Hii ni ramani mpya ya Mo Simba Arena. Mradi mkubwa ambao utaweka msingi wa mafanikio yetu baadae.
“Tunatarajia kujenga kambi bora ya mazoezi, viwanja vitano vya kisasa, sehemu za kuongelea , makumbusho ya Simba na kuweka kituo cha kisasa kwa ajili ya kuibua vipaji”- Mohammed Dewji ‘Mo’.
Mo ameongeza kuwa kufanikiwa yote hayo lazima kuwepoa kwa mchakato wa mabadiliko kufanikiwa ambao upo katika hatua ya nwisho na utamalizika salama na kujenga Simba imara.