KITAIFATETESI ZA USAJILI

ZAHERA ATAJWA KUMPISHA MGUNDA NAMUNGO

Baada ya kupoteza mechi mbili mtawalia kwenye ligi kuu Tanzania bara na Afisa Mtendaji Mkuu wa klabu kujiuzulu, uongozi wa klabu ya Namungo utajwa kuvunja benchi la ufundi ikiwa ni pamoja na kumuachisha kazi kocha Mwinyi Zahera kutoka Congo DR.

Baada ya hatua hiyo Uongozi wa klabu hiyo upo kwenye maongezi na kocha wa Simba Queens Juma Mgunda achukue nafasi hiyo akisaidiana na Ngawina RS Ngawina ambaye ni kocha msaidizi wa Coastal Union.

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button