Mshambuliaji mpya wa Yanga, Prince Dube amesema kuwa “Nafurahi kucheza Yanga, kuna wachezaji wakubwa hapa na kila mchezaji anatamani kucheza ndani ya Yanga ni timu kubwa na nipo hapa kwa ajili ya kufanya kazi nimepitia kipindi kigumu na sasa natamani kufurahi na kuitumika klabu kwa sasa,
Mambo yanakwenda vizuri,nimekaribishwa vizuri kuanzia kwa mashabiki,viongozi,na benchi la ufundi na kila mtu na najisikia furaha na nipo tayari kuwafurahisha na kama nitakuwa timamu kimwili kwenye kila mchezo” – Prince Dube-Mshambuliaji wa Yanga SC
Previous ArticleKARIAKOO DABI HII HAPA, RATIBA NGAO YA JAMII
Next Article KIKOSI cha Yanga SC Msimu Huu wa 2024/2025
Related Posts
Add A Comment