KIMATAIFA

NYOTA MAN UNITED WAONDOLEWA TIMU YA TAIFA KWASABABU YA MAJERAHA

Mastaa kadhaa wa klabu ya Manchester United wameondolewa kwenye timu zao za Taifa kwasababu ya majeraha.

– Kobe Mainoo ameondolewa kwe nye timu ya Taifa Uingereza,
– Noussar Mazraoui ameondelewa kwenye timu ya Taifa ya Morocco,
– Alejandro Garnacho ameondolewa kwenye timu ya Taifa ya Argentina

Pia kwenye kambi ya timu ya Taifa ya Uingereza Morgan Gibbs-White na Ezri Konza wameondolewa kwasababu ya Majeraha.

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button