KITAIFA
TAIFA STARS YAIBUKA NA USHINDI DHIDI YA GUINEA

TIMU ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars imechukua alama zote tatu dhidi ya wenyeji, Guinea katika dimba la Charles Konan Banny, Yamoussoukro Ivory Coast kwenye mchezo wa Kundi H.
Guinea 1-2 Tanzania
Bayo 57’
Feitoto 61’
Mudathir 88’
Stars imefikisha pointi 4 baada ya mechi mbili inasalia nafasi ya pili kwenye Kundi H alama mbili nyuma ya vinara DR Congo.
𝐅𝐔𝐋𝐋 𝐓𝐈𝐌𝐄: KUFUZU #AFCON 2025
Botswana 0-4 Egypt
Gabon 2-0 Central African Republic
Liberia 0-3 Algeria
Namibia 1-2 Kenya
Zimbabwe 0-0 Cameroon