Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home » Yanga Yamrudisha Kocha Abdihamid Moalin Kuinua Kiwango cha Timu
    KITAIFA

    Yanga Yamrudisha Kocha Abdihamid Moalin Kuinua Kiwango cha Timu

    ChikaoBy ChikaoMarch 24, 202601 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Klabu ya Yanga, imetangaza kumrejesha kocha Abdihamid Moalin kuwa kocha Msaidizi chini ya Kocha Mkuu Pedro Gonçalves hatua ambayo klabu hiyo imeeleza kuwa imalenga kutatua changamoto ya kiufundi klabu hiyo inayopelekea kupata wakati mgumu kupata matokeo mazuri na kucheza vizuri.

    Taarifa ya Machi 23, 2026 iliyotolewa na klabu hiyo na klabu hiyo baada ya kikao cha kufanya tathimini ya timu hiyo baada ya kumalizika kwa mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu msimu huu imeeleza kuwa uongozi WA klabu umegundua uwepo wa changamoto ya kiufundi inayoifanya Timu icheze aina tofauti ya uchezaji (style of play) ile ambayo imezoelekea na kuendana na wachezaji walio ndani ya kikosi.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleZidane Kurithi Mikoba ya Deschamps Ufaransa Baada ya Kombe la Dunia 2026
    Next Article DIARRA AWEKA REKODI, AMUACHA MBALI KIPA WA SIMBA

    Related Posts

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    April 19, 2026

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    April 19, 2026

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    April 19, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    REFA ATUMIA SIMU KAMA VAR

    SINGIDA BLACK STARS WAZIPIGA MKWARA SIMBA, YANGA NA AZAM FC

    BERNARDO AAGWA NA MAN CITY RASMI

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.