Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home ยป TETESI: TIMU YA MESSI YAMFUKUZIA BERNARDO SILVA
    KIMATAIFA

    TETESI: TIMU YA MESSI YAMFUKUZIA BERNARDO SILVA

    ChikaoBy ChikaoMarch 25, 202601 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Inter Miami wanapanga kumsajili kiungo wa Manchester City Bernardo Silva.

    Kulingana na TyC Sports, klabu hiyo ya Marekani inatumai kumnasa kwa uhamisho wa bila malipo msimu huu wa joto lakini itakabiliwa na ushindani mkubwa kutoka kwa vilabu vya barani Ulaya.

    Mkataba wa Silva na City unamalizika mwishoni mwa msimu huu, na kuna uwezekano mkubwa kwamba huenda akashika njia.

    Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 31 amekuwa akiongea kuhusu nia yake ya kutafuta changamoto mapya nje City, hivyo uwezekano wa kuongeza mkataba wake wa kukaa Etihad Stadium ni mdogo.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleKOCHA WA YANGA HAELEWI, VIONGOZI WABADILISHA UELEKEO
    Next Article Mechi 7 zijazo kwa Simba NBC Premier League 2025/26

    Related Posts

    REFA ATUMIA SIMU KAMA VAR

    April 17, 2026

    BERNARDO AAGWA NA MAN CITY RASMI

    April 16, 2026

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    April 7, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    REFA ATUMIA SIMU KAMA VAR

    SINGIDA BLACK STARS WAZIPIGA MKWARA SIMBA, YANGA NA AZAM FC

    BERNARDO AAGWA NA MAN CITY RASMI

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.