Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home » Katibu wa Senegal asema Kombe halitaondoka Nchini kwao.
    KIMATAIFA

    Katibu wa Senegal asema Kombe halitaondoka Nchini kwao.

    ChikaoBy ChikaoMarch 20, 202601 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka la Senegal Abdoulaye Sow ameweka wazi msimamo wa Taifa lake la Senegal kuhusiana na maamuzi ya Kamati ya Rufaa ya CAF ya kuwapa ubingwa wa AFCON 2025 Timu ya taifa ya Morocco.

    “Kombe halitaondoka nchini! Shirikisho la soka Afrika limeoza, na majibu kutoka duniani kote baada ya uamuzi huu yanaonyesha hasira kubwa. Mapambano bado hayajaisha”.

    “Nataka kuwahakikishia watu wote wa Senegal. Senegal iko upande wa haki na ushindi.”Amesema Sow.

    Taarifa kutoka Nchini humo zinaeleza kuwa Senegal wamepanga kuongeza ulinzi kwenye kombe hil

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleFIFA YAPITISHA SHERIA MPYA 6 KUELEKEA KOMBE LA DUNIA 2026
    Next Article Zidane Kurithi Mikoba ya Deschamps Ufaransa Baada ya Kombe la Dunia 2026

    Related Posts

    REFA ATUMIA SIMU KAMA VAR

    April 17, 2026

    BERNARDO AAGWA NA MAN CITY RASMI

    April 16, 2026

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    April 7, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    REFA ATUMIA SIMU KAMA VAR

    SINGIDA BLACK STARS WAZIPIGA MKWARA SIMBA, YANGA NA AZAM FC

    BERNARDO AAGWA NA MAN CITY RASMI

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.