Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home » UPANDE WA MO DEWJI NAO WATOA MAJIBU HAYA MAZITO
    KITAIFA

    UPANDE WA MO DEWJI NAO WATOA MAJIBU HAYA MAZITO

    ChikaoBy ChikaoFebruary 6, 202601 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    mo dewji
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email
    Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC imeeleza kusikitishwa na vitendo vya baadhi ya watu kuitisha mkutano usio rasmi na kutoa maneno ya kashfa pamoja na kauli zisizo na staha dhidi ya mwekezaji wa klabu hiyo, Ndugu Mohammed G. Dewji.
    Klabu imesisitiza kuwa vitendo hivyo havikubaliki na haitatabari wala kuvumilia mtu yeyote atakayeharibu taswira ya klabu kwa namna yoyote ile, huku wakitoa pole rasmi kwa Ndugu Dewji kutokana na usumbufu huo.
    ​Kutokana na hali hiyo, uongozi wa Simba umeliandikia Jeshi la Polisi ili kuchukua hatua kali za kisheria dhidi ya wote waliohusika katika mkutano huo ama “kula njama,” kwa lengo la kuwafikisha kwenye vyombo vya dola kwa makosa ya jinai.
    Aidha, klabu imetoa onyo kali kuhusu matumizi haramu ya nembo za wadhamini wao yaliyofanyika katika mkutano huo usio rasmi, ikisisitiza kuwa itachukua hatua za kisheria kulinda haki za wadhamini wake.
    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleMMILIKI WA MBEYA KWANZA APIGA MKWARA HUU MZITO
    Next Article Hizi Hapa Hesabu Konki za Yanga Kufuzu Robo Fainali Klabu Bingwa

    Related Posts

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    April 19, 2026

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    April 19, 2026

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    April 19, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    REFA ATUMIA SIMU KAMA VAR

    SINGIDA BLACK STARS WAZIPIGA MKWARA SIMBA, YANGA NA AZAM FC

    BERNARDO AAGWA NA MAN CITY RASMI

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.