Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home » Mwandambo atoa onyo kwa vijana kurudiana na “Ex”
    KITAIFA

    Mwandambo atoa onyo kwa vijana kurudiana na “Ex”

    ChikaoBy ChikaoFebruary 9, 202601 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    mwandambo
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Mwanamitandao maarufu, Clemence Mwandambo, amewapa somo vijana kuhusu masuala ya mahusiano, akisisitiza kuwa si busara kurudiana na mpenzi wa zamani (Ex).

    Akizungumza kupitia mitandao ya kijamii, Mwandambo amedai kuwa mwanamke hapendi kuachwa mara mbili, hivyo endapo mwanaume atarudiana na mpenzi wake wa zamani, anaweza kukumbana na changamoto au madhara makubwa baadaye.

    “Ex harudiwi. Mwanamke hapendi kuachwa mara mbili, hivyo akirudi kwako anaweza kukufanyia jambo lolote ili kuhakikisha haumwachi tena. Unaweza kujikuta ukijuta,” amesema Mwandambo.

    Katika kauli yake, aligusia pia sakata la wasanii Harmonize na Kajala, akieleza kuwa kurudiana kwao ni jambo lisilo na busara kwa upande wa Harmonize, japokuwa amesisitiza kuwa hakumaanishi Kajala anaweza kufanya vitendo hivyo alivyovitaja.

    Kauli hiyo imeibua mjadala mkubwa mitandaoni, ambapo baadhi ya watu wameunga mkono ushauri huo huku wengine wakipinga wakisema mahusiano hutofautiana kulingana na watu husika.

    Maoni yangu
    Kauli ya Clemence ina ujumbe wa tahadhari, lakini imejaa ujumla (generalization).

    Si kila mahusiano ya “Ex” ni mabaya wala si kila mwanamke au mwanaume huumiza akirudiwa.

    Kuna watu hurudiana, wakarekebisha makosa, na kuishi vizuri kabisa.
    Hata hivyo, funzo kubwa hapa ni kujitathmini:

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleMan City Yapindua Meza Kibabe Ikiicharaza Liverpool Nyumbani
    Next Article OURA AIPA HESHIMA SIMBA, WABEBA ALMA ANGOLA

    Related Posts

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    April 8, 2026

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    April 8, 2026

    HATIMAE MIGUU IMEANZA KUMSALITI CHAMA

    April 7, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    HATIMAE MIGUU IMEANZA KUMSALITI CHAMA

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    MPANZU NA FEI TOTO WAKUTANA USO KWA USO KWENYE VITA YA ASSIST

    IBENGE ATANGAZA VITA JUU YA KIKOSI CHA SIMBA

    MBAPPE: NITACHEZEA TIMU YA TAIFA YA CAMEROON

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.