Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home ยป Mechi ya Yanga vs Kabylie CAF ni Lini? Tarehe, Saa na Mahali
    KITAIFA

    Mechi ya Yanga vs Kabylie CAF ni Lini? Tarehe, Saa na Mahali

    ChikaoBy ChikaoFebruary 12, 202601 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Mechi ya Yanga vs Kabylie CAF ni Lini Tarehe Saa na Mahali
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Mechi ya Yanga vs Kabylie CAF ni Lini? Tarehe, Saa na Mahali

    Timu ya Wananchi Yanga SC itashuka dimbani kuikabili JS Kabylie katika mchezo unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa, huku wakisaka matokeo chanya kwenye hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Mchezo huo ndio mchezo utakao hitimisha michezo ya hatua ya makundi na unatarajiwa kufuatiliwa na mashabiki wengi, huku ratiba, saa ya kuanza na njia ya kuutazama zikithibitishwa rasmi.

    Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa, Yanga itakuwa dimba la New Amaan Complex siku ya Jumapili, Februari 15, ikimenyana na wapinzani wao kutoka Algeria katika pambano lenye umuhimu wa kiushindani ndani ya ratiba ya michuano hiyo.

    Tarehe na Saa ya Mchezo wa Yanga vs Kabylie

    • Tarehe: Jumapili, Februari 15
    • Uwanja: New Amaan Complex
    • Muda wa kuanza: Saa 1:00 usiku

     

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleTimu Zilizofuzu Robo Fainali Klabu Bingwa Afrika 2025/2026 CAF
    Next Article YANGA YATANGAZA VITA, PRESHA YAHAMIA ZANZIBAR

    Related Posts

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    April 12, 2026

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    April 8, 2026

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    April 8, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    HATIMAE MIGUU IMEANZA KUMSALITI CHAMA

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    MPANZU NA FEI TOTO WAKUTANA USO KWA USO KWENYE VITA YA ASSIST

    IBENGE ATANGAZA VITA JUU YA KIKOSI CHA SIMBA

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.