Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home ยป Salah ni Mwendo wa Kuvunja na Kuweka Rekodi Tu
    KIMATAIFA

    Salah ni Mwendo wa Kuvunja na Kuweka Rekodi Tu

    ChikaoBy ChikaoDecember 15, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Salah
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Baada ya jana kutoa asisti ya goli la pili la Hugo Ekitike kwenye ushindi wa 2-0 wa Liverpool dhidi ya Brighton, Mohamed Salah sasa amekuwa mchezaji wa tatu kwa wachezaji waliochangia mabao mengi wa muda wote wa Ligi Kuu Uingreza, akiwa amewapita Frank Lampard na Ryan Giggs huku akiwa amechangia mabao 280 (Magoli 190, Assists 90).

    Wachezaji wawili walio mbele yake ni Alan Shearer na Wayne Rooney.

    1 Alan Shearer 324
    2 Wayne Rooney 308
    3 Mohamed Salah 280
    4 Frank Lampard 279
    5 Ryan Giggs 272

    Salah alifanikisha hatua hii katika michezo michache zaidi kuliko wachezaji wengine katika tano bora, akiangazia ufanisi wake wa ajabu.

    Pia anashikilia rekodi ya kuhusika kwa mabao mengi zaidi katika msimu mmoja wa mechi 38 za Ligi Kuu, akiwa na mabao 47 msimu wa 2024/25.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleChico Ushindi Afariki, Soka la Afrika Lapata Pengo
    Next Article Vin Diesel adokeza Ronaldo kucheza Fast & Furious

    Related Posts

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    April 7, 2026

    MBAPPE: NITACHEZEA TIMU YA TAIFA YA CAMEROON

    April 4, 2026

    TETESI: TIMU YA MESSI YAMFUKUZIA BERNARDO SILVA

    March 25, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    HATIMAE MIGUU IMEANZA KUMSALITI CHAMA

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    MPANZU NA FEI TOTO WAKUTANA USO KWA USO KWENYE VITA YA ASSIST

    IBENGE ATANGAZA VITA JUU YA KIKOSI CHA SIMBA

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.