Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home ยป Nigeria vs Tanzania AFCON 2025 Live
    KIMATAIFA

    Nigeria vs Tanzania AFCON 2025 Live

    ChikaoBy ChikaoDecember 23, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Nigeria vs Tanzania ni mchezo mkali unaosubiriwa kwa shauku kwenye mashindano ya AFCON 2025 ikiwa ni hatua ya makundi nchini Morocco.

    Tayari mchezo wa ufunguzi ulishachezwa rasmi Desemba 21 ya Jumapili na wenyeji Morocco wakiibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Comoros.

    Leo ni kazi ya wawakilishi kutoka Tanzania, Taifa Stars wakiongozwa na nahodha Mbwana Samatta ambaye yupo nchini Morocco.

    Ni Nigeria vs Tanzania miongoni mwa kazi ngumu kwa wababe wote wawili ikiwa ni hatua ya makundi.

    Miguel Gamondi anatarajiwa kuchanga karata yake ya kwanza leo katika kampeni ya kuwania kufuzu hatua ya robo fainali.

    Jumanne, Desemba 23, 2025

    Congo Dr vs Benin, saa 9:30 alasiri
    Senegal vs Botswana, saa 12:00 jioni
    Nigeria vs Tanzania, saa 2:30 usiku
    Tunisia vs Uganda, saa 5:00 usiku.

    CAF
    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleMatokeo ya Form Two 2025/2026 (Matokeo Kidato Cha Pili) NECTA Form Two Results
    Next Article Ukiongozeka uzito Man City Hupati Nafasi

    Related Posts

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    April 7, 2026

    MBAPPE: NITACHEZEA TIMU YA TAIFA YA CAMEROON

    April 4, 2026

    TETESI: TIMU YA MESSI YAMFUKUZIA BERNARDO SILVA

    March 25, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    HATIMAE MIGUU IMEANZA KUMSALITI CHAMA

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    MPANZU NA FEI TOTO WAKUTANA USO KWA USO KWENYE VITA YA ASSIST

    IBENGE ATANGAZA VITA JUU YA KIKOSI CHA SIMBA

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.