Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home » AFCON 2025 kuanza kutimua vumbi rasmi leo Morocco
    KIMATAIFA

    AFCON 2025 kuanza kutimua vumbi rasmi leo Morocco

    ChikaoBy ChikaoDecember 21, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    afcon
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Rasmi michuano mikubwa ya soka barani Arika, Kombe la Mataifa Afrika (AFCON 2025) itaanza kutimua vumbi nchini Morocco kuanzia usiku wa leo Jumapili.

    Morocco ambao ni wenyeji wa mashindano watashuka uwanjani Prince Moulay Abdellah huko Rabat kurusha kete yao ya kwanza wakati itakapokipiga na Comoros.

    Morocco inashika nafasi ya 11 kwenye viwango vya soka vya dunia, huku ikishika namba moja kwa Afrika, wakati Comoros yenyewe inashika nafasi ya 108.

    Timu hizo mbili zimewahi kukutana mara nne, ambapo Morocco ilishinda tatu na moja ilimalizika kwa sare.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleJumapili ya Soka Ulaya: Mechi Kubwa Bundesliga, Serie A na LaLiga
    Next Article Sergio Ramos arejea Bernabéu Baada ya Miaka Mitano

    Related Posts

    REFA ATUMIA SIMU KAMA VAR

    April 17, 2026

    BERNARDO AAGWA NA MAN CITY RASMI

    April 16, 2026

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    April 7, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    REFA ATUMIA SIMU KAMA VAR

    SINGIDA BLACK STARS WAZIPIGA MKWARA SIMBA, YANGA NA AZAM FC

    BERNARDO AAGWA NA MAN CITY RASMI

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.