Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home » GAMONDI KUINOA TAIFA STARS KUELEKEA AFCON 2025
    KITAIFA

    GAMONDI KUINOA TAIFA STARS KUELEKEA AFCON 2025

    ChikaoBy ChikaoNovember 4, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Gamondi
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limemtangaza Kocha wa Singida Black Stars, Miguel Angel Gamondi kutoka Argentina, kuwa Kaimu Kocha Mkuu wa Taifa Stars. Uteuzi huu unakuja baada ya aliyekuwa kocha wa timu hiyo, Hemed Suleiman “Morocco”, kuachana na TFF kwa makubaliano ya pande zote mbili.

    Kwa mujibu wa taarifa rasmi iliyotolewa na TFF leo, Novemba 4, 2025, mazungumzo kati ya TFF na uongozi wa Singida Black Stars tayari yamekamilika, na Gamondi amekubali kuchukua majukumu hayo mapya.

    Kocha huyo ambaye aliwahi pia kuinoa Young Africans SC (Yanga), anatarajiwa kuiongoza Taifa Stars kwenye michuano ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) itakayofanyika nchini Morocco kuanzia Desemba mwaka huu.

    TFF
    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleHISTORIA IMEANDIKWA BAADA YA TIMU NNE KUTOKA TANZANIA KUWA KIMATAIFA
    Next Article TAREHE HII YATANGAZWA MECHI ZA LIGI KUU KUREJEA

    Related Posts

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    April 19, 2026

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    April 19, 2026

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    April 19, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    REFA ATUMIA SIMU KAMA VAR

    SINGIDA BLACK STARS WAZIPIGA MKWARA SIMBA, YANGA NA AZAM FC

    BERNARDO AAGWA NA MAN CITY RASMI

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.