Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home ยป TETESI: SIMBA YAMTAKA KOCHA WA ZAMANI WA YANGA
    KITAIFA

    TETESI: SIMBA YAMTAKA KOCHA WA ZAMANI WA YANGA

    ChikaoBy ChikaoOctober 1, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    INAELEZWA kuwa mabosi wa Simba SC wapo na hesabu za kumpa kazi Miguel Gamondi ambaye kwa sasa ni Kocha Mkuu wa Singida Black Stars.

    Inaelezwa kuwa Simba SC mara baada ya Fadlu Davids kubwaga manyanga walianza kufikiria kupata huduma ya Gamondi ambaye aliwahi kuinoa Yanga SC na kuipa ubingwa.

    Uzoefu wake kwenye soka la Afrika unatajwa kuwa sababu kubwa kwa Simba SC kutuma ofa ndani ya Singida Black Stars kupata saini yake.

    Taarifa zinaeleza kuwa uwezekano wa Simba SC kumpata Gamondi ni mdogo kwa sasa kutokana na mpango kazi uliopo kwa mabosi wa Singida Black Stars.

    Ushiriki wa Singida Black Stars kwenye anga za kimataifa ikiwa katika Kombe la Shirikisho, uwepo wa wachezaji wenye uzoefu unatajawa kuwa sababu ya Gamondi kutoelekea Simba SC.

    Bado mazungumzo yanaendelea na hali itakapofikia hapa tutakujuza msomaji wetu kwa uhakika kuhusu suala la kocha mpya ndani ya kikosi cha Simba SC.

    Simba SC
    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleWACHEZAJI WAWILI SIMBA KUUKOSA MCHEZO NA NAMUNGO
    Next Article KOCHA FOLZ BADO YUPO YUPO SANA YANGA

    Related Posts

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    April 8, 2026

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    April 8, 2026

    HATIMAE MIGUU IMEANZA KUMSALITI CHAMA

    April 7, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    HATIMAE MIGUU IMEANZA KUMSALITI CHAMA

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    MPANZU NA FEI TOTO WAKUTANA USO KWA USO KWENYE VITA YA ASSIST

    IBENGE ATANGAZA VITA JUU YA KIKOSI CHA SIMBA

    MBAPPE: NITACHEZEA TIMU YA TAIFA YA CAMEROON

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.