Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home » SIMBA JOTO LAPAMBA MOTO KUELEKEA MECHI DHIDI YA NSINGIZINI
    KITAIFA

    SIMBA JOTO LAPAMBA MOTO KUELEKEA MECHI DHIDI YA NSINGIZINI

    ChikaoBy ChikaoOctober 18, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Simba
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Nsingizini Hotspurs vs Simba SC, mchezo unaofuata kwa Simba SC katika anga la kimataifa ikiwa ni CAF Champions League unatarajiwa kuchezwa ugenini.

    Hii ni kete ya kwanza kimataifa kwa Meneja Mkuu wa Simba SC, Dimitar Pantev huku wachezaji wapya wa timu hiyo ikiwa ni Neo Maema, De Reuck wakipewa angalizo kuhakikisha kwamba wanapambana kupata matokeo mazuri.

    Ikumbukwe kwamba mshindi wa jumla katika mchezo huu atakwenda hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

     Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally amebainisha kuwa wachezaji wote wana kazi kuelekea mchezo ujao kimataifa kuhakikisha wanaendeleza utamaduni wa timu hiyo kupata matokeo mazuri.

    “Wachezaji wapya baadhi De Reuck na Maema wanaifahamu historia waliyoikuta Simba ya ushiriki wetu wa kimataifa na siyo hao pekee pia wachezaji wengine kama yupo hafahamu umuhimu wa kufuzu makundi lazima atambue na kuendeleza ile historia,”

    Mchezo wa Nsingizini Hotspurs vs Simba SC ni Oktoba 19 2025 na ule wa marudiano ni Simba SC vs Nsingizini Hotspurs, Oktoba 24,2025, kwenye  CAF Champions League.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleMWENDO WA KIMYA KIMYA AISEE…SIMBA WASHUSHA MASHINE HII MPYA YA KAZI DAR….
    Next Article AZAM FC YAJAWA MATUMAINI YA KUBADILISHA HISTORIA YA KIMATAIFA

    Related Posts

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    April 19, 2026

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    April 19, 2026

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    April 19, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    REFA ATUMIA SIMU KAMA VAR

    SINGIDA BLACK STARS WAZIPIGA MKWARA SIMBA, YANGA NA AZAM FC

    BERNARDO AAGWA NA MAN CITY RASMI

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.