Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home » PSG KUWAKOSA NYOTA WAKE MUHIMU WATANO MECHI DHIDI YA BARCELONA
    KIMATAIFA

    PSG KUWAKOSA NYOTA WAKE MUHIMU WATANO MECHI DHIDI YA BARCELONA

    ChikaoBy ChikaoOctober 1, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    psg vs barcelona
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Klabu ya PSG imethibitisha kuwakosa wachezaji wake wanne kwenye mchezo wa ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Barcelona siku ya kesho ambao ni Khvicha Kvaratskhelia, Désiré Doué, Marquinhos na Ousmane Dembélé .

    Kvaratskhelia alipata jeraha la paja kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Auxerre hivyo ataukosa mchezo huo wakati pia timu hiyo ikiendelea kumkosa mshindi wa Ballon d’Or, Ousmane Dembele, winga Desire Doue na beki wa kati Marquinhos ambao pia wanaendelea kuuguza majeraha yao.

    Barcelona Paris Saint-Germain
    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous Article“KOCHA ANAHITAJI MUDA, MPIRA SIO KAMA KUPIKA CHAI” – MZEE WA JAMBIA
    Next Article Simba vs Namungo FC Leo 01/10/2025 Saa Ngapi?

    Related Posts

    REFA ATUMIA SIMU KAMA VAR

    April 17, 2026

    BERNARDO AAGWA NA MAN CITY RASMI

    April 16, 2026

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    April 7, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    REFA ATUMIA SIMU KAMA VAR

    SINGIDA BLACK STARS WAZIPIGA MKWARA SIMBA, YANGA NA AZAM FC

    BERNARDO AAGWA NA MAN CITY RASMI

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.