Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home ยป MAKOCHA WA MAPACHA WA KARIAKOO KUPISHANA AIRPORT
    KITAIFA

    MAKOCHA WA MAPACHA WA KARIAKOO KUPISHANA AIRPORT

    ChikaoBy ChikaoOctober 3, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    makocha
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Wakati tetesi za aliyekuwa kocha wa Gaborone United raia wa Bulgaria Dimitar Nikolaev Pantev kujiunga na wekundu wa Msimbazi kuwa kocha mkuu mpya wa klabu hiyo upande wa pili kwa Mabingwa wa Tanzania tetesi za kuachana na kocha wao Romain Folz zimeshika kasi.

    Taarifa hizo zinazohusisha wababe wa soka la Tanzania kama zikiwa za kweli basi makocha hao watapishana mmoja akiondoka kwenye klabu yenye makao makuu mitaa ya Jangwani huku mwingine akijiunga na klabu yake ya mitaa ya Msimbazi.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleCv ya Dimitar Pantev Kocha Mpya wa Simba Sc 2025
    Next Article MBINU ZA TUCHEL ZAWATEMA BELLINGHAM, FODEN NA GREALISH

    Related Posts

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    April 12, 2026

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    April 8, 2026

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    April 8, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    HATIMAE MIGUU IMEANZA KUMSALITI CHAMA

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    MPANZU NA FEI TOTO WAKUTANA USO KWA USO KWENYE VITA YA ASSIST

    IBENGE ATANGAZA VITA JUU YA KIKOSI CHA SIMBA

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.