Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home » ARNE SLOT APOTEZA MECHI NNE MFULULIZO LIVERPOOL
    KIMATAIFA

    ARNE SLOT APOTEZA MECHI NNE MFULULIZO LIVERPOOL

    ChikaoBy ChikaoOctober 27, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Tangu achukue mikoba ya kuinoa Liverpool, kocha Arne Slot sasa amefikiwa na rekodi ya kusononesha sana ya kupoteza mechi 4 mfululizo kwenye ligi kuu Uingereza.

    Mechi hizo ni dhidi ya;

    ❌ 2-1 vs Crystal Palace
    ❌ 2-1 vs Chelsea
    ❌ 1-2 vs Manchester United
    ❌ 3-2 vs Brentford

    Kutoka kuwa timu inayotetea Ubingwa hadi sasa nafasi ya 6 kwenye msimamo wa Ligi.

    Liverpool FC
    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleHIVI HAPA VIINGILIO MECHI YA MARUDIANO SIMBA VS NSINGIZINI
    Next Article HISTORIA IMEANDIKWA BAADA YA TIMU NNE KUTOKA TANZANIA KUWA KIMATAIFA

    Related Posts

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    April 7, 2026

    MBAPPE: NITACHEZEA TIMU YA TAIFA YA CAMEROON

    April 4, 2026

    TETESI: TIMU YA MESSI YAMFUKUZIA BERNARDO SILVA

    March 25, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    HATIMAE MIGUU IMEANZA KUMSALITI CHAMA

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    MPANZU NA FEI TOTO WAKUTANA USO KWA USO KWENYE VITA YA ASSIST

    IBENGE ATANGAZA VITA JUU YA KIKOSI CHA SIMBA

    MBAPPE: NITACHEZEA TIMU YA TAIFA YA CAMEROON

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.