Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home ยป YANGA YATUMIA BILION 7.7 KWENYE MISHAHARA YA WACHEZAJI
    KITAIFA

    YANGA YATUMIA BILION 7.7 KWENYE MISHAHARA YA WACHEZAJI

    ChikaoBy ChikaoSeptember 7, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Kikosi Kamili cha Yanga 2025/26
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Rais wa Yanga SC Eng. Hersi Said amewataka wanachama wa klabu hiyo kulipia ada kwa kuwa gharama za uendeshaji wa klabu ni kuwa sana.

    Eng. Hersi amesema moja ya gharama kubwa zinazowagharimu ni juu ya kulipa mishahara huku akisema kwamba kiasi cha pesa kilichotumika kwenye kulipa Mishahara ndani ya msimu uliopita ni shilingi bilioni 7.6.

    Sambamba na hilo Eng. Hersi amesema msimu wa 2024-2025 wanachama wamechangia Bilioni 1.1 kitu ambacho kwa wingi wao ni kiwango kidogo.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleYANGA YATENGA BILIONI 33 KATIKA MSIMU HUU WA 2025/26
    Next Article ENG. HERSI AKATAA KUACHIA UONGOZI MPAKA AJENGE UWANJA WA YANGA

    Related Posts

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    April 8, 2026

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    April 8, 2026

    HATIMAE MIGUU IMEANZA KUMSALITI CHAMA

    April 7, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    HATIMAE MIGUU IMEANZA KUMSALITI CHAMA

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    MPANZU NA FEI TOTO WAKUTANA USO KWA USO KWENYE VITA YA ASSIST

    IBENGE ATANGAZA VITA JUU YA KIKOSI CHA SIMBA

    MBAPPE: NITACHEZEA TIMU YA TAIFA YA CAMEROON

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.