Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home ยป YAMEBAKI MASAA KUELEKEA DABI YA KARIAKOO
    KITAIFA

    YAMEBAKI MASAA KUELEKEA DABI YA KARIAKOO

    ChikaoBy ChikaoSeptember 15, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Yamebaki masaa kabla ya mchezo wa Kariakoo Dabi kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Septemba 16 2025 ikiwa ni mchezo wa Ngao ya Jamii.

    Ikumbukwe kwamba msimu wa 2024/25 Yanga SC walitwaa taji hilo kwa ushindi kwenye mchezo wa fainali mbele ya Azam FC katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa.

    Simba SC iligotea kuwa mshindi wa tatu kwa kuwa mashindano hayo yaliendeshwa kwa kuanzia hatua ya nusu fainali.Kwenye hatua ya nusu fainali Simba SC ilipoteza kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Yanga SC bao la ushindi likifungwa na Maxi Nzengeli.

    Tayari viingilio vimetangazwa na Shirikisho la Soka Tanzania kuelekea kwenye mchezo huo na Septemba 15 2025 kutakuwa na maandalizi ya mwisho kwa timu zote mbili Yanga SC na Simba SC ambapo mkutano wa benchi la ufundi unatarajiwa kufanyika saa 5:00 asubuhi Uwanja wa Mkapa.

    Mzunguko kwenye mchezo wa Kariakoo Dabi ni 5,000 huku safari hii kukiwa na tiketi za Platinum ambazo kiingilio chake ni 300,000, VIP A ni 100,000, VIP B ni 30,000, VIP C 20,000 na Orange ni 15,000.

    Simba SC Yanga SC
    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleJEAN AHOUA AINGIA KWENYE MTIHANI MWINGINE SIMBA
    Next Article FADLU ASEMA YANGA NDIO WANA HOFU KULIKO SIMBA

    Related Posts

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    April 19, 2026

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    April 19, 2026

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    April 19, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    REFA ATUMIA SIMU KAMA VAR

    SINGIDA BLACK STARS WAZIPIGA MKWARA SIMBA, YANGA NA AZAM FC

    BERNARDO AAGWA NA MAN CITY RASMI

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.