Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home » WANANCHI KUNYWA SUPU JANGWANI SIKU YA KESHO TAREHE 09-09-2025
    KITAIFA

    WANANCHI KUNYWA SUPU JANGWANI SIKU YA KESHO TAREHE 09-09-2025

    ChikaoBy ChikaoSeptember 8, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    wananchi
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Kuelekea maadhimisho ya Wiki ya Mwananchi, Klabu ya Yanga imetangaza kuwa siku ya Jumanne katika Makao Makuu yake yaliyopo Jangwani kutafanyika zoezi la uchangiaji damu salama kwa lengo la kusaidia watu wenye changamoto ya upungufu wa damu.

    Akizungumza na waandishi wa habari, Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga, Ally Kamwe, alisema shughuli hiyo itakuwa na umuhimu mkubwa kwa jamii kwani itagusa maisha ya watu wengi wanaohitaji damu hospitalini.

    “Tutakuwa na mambo mawili. Moja ni kuchangia damu salama kuelekea Wiki ya Mwananchi kwa ajili ya kusaidia kundi kubwa la watu wenye changamoto ya ukosefu wa damu,” alisema Kamwe.

    Aidha, alibainisha kuwa washiriki wote watakaojitokeza katika zoezi hilo maalum watazawadiwa zawadi mbalimbali kama sehemu ya kuonyesha kuthamini mchango wao.

    Shughuli hiyo itahitimishwa kwa burudani ya pamoja ambapo washiriki na wageni wote watapata fursa ya kushiriki katika unywaji wa supu.

    Yanga SC
    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleENG. HERSI AKATAA KUACHIA UONGOZI MPAKA AJENGE UWANJA WA YANGA
    Next Article DKT. BITEKO AHIMIZA WANAMICHEZO KUCHUNGUZA AFYA ZAO

    Related Posts

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    April 12, 2026

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    April 8, 2026

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    April 8, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    HATIMAE MIGUU IMEANZA KUMSALITI CHAMA

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    MPANZU NA FEI TOTO WAKUTANA USO KWA USO KWENYE VITA YA ASSIST

    IBENGE ATANGAZA VITA JUU YA KIKOSI CHA SIMBA

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.