Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home ยป WAJUE WAPINZANI WA SIMBA MECHI INAYOFUATA CAF
    KITAIFA

    WAJUE WAPINZANI WA SIMBA MECHI INAYOFUATA CAF

    ChikaoBy ChikaoSeptember 30, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    simba
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Simba Baada ya Kumaliza Mechi ya awali ya CAF Champions League na kumaliza wakiwa na ushindi wa magoli mawili Moja la Ugenini na lingine Nyumbani, Kwa sasa Mchezo unaofwata ni dhidi ya Nsingizini Hotspurs kutokea Eswatini, Mchezo ambao unatarajiwa kuchezwa 17 Oktoba 2025 katika mkondo wa kwanza, Simba wakianzia ugenini.

    Nsingizini Hotspur wameingia katika hatua hii baada ya kumuondoa Simba Bhora kutokea Zimbwabe kwa mikwaju ya penati baada ya mechi zote mbili kumalizika kwa magoli sawa 1:1 ambapo mechi ya kwanza Nsingizini walianzia ugenini na wakapokea kichapo cha goli moja na mchezo wa arudiano wakiwa nyumbani walifunga goli moja ndio mchezo ukaenda katika matuta.

    TAZAMA UCHAMBUZI WOTE HAPA CHINI

    Simba SC
    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleHAYA HAPA MAGAZETI YA LEO SEPTEMBA 30, 2025
    Next Article MOURINHO ATANGAZA VITA KALI DHIDI YA CHELSEA LEO

    Related Posts

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    April 19, 2026

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    April 19, 2026

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    April 19, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    REFA ATUMIA SIMU KAMA VAR

    SINGIDA BLACK STARS WAZIPIGA MKWARA SIMBA, YANGA NA AZAM FC

    BERNARDO AAGWA NA MAN CITY RASMI

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.