Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home ยป SIMBA YATANGAZA RASMI UWANJA WA MKAPA KUWA UWANJA WAO WA NYUMBANI 2025/2026
    KITAIFA

    SIMBA YATANGAZA RASMI UWANJA WA MKAPA KUWA UWANJA WAO WA NYUMBANI 2025/2026

    ChikaoBy ChikaoSeptember 22, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    simba
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Klabu ya Simba imeutangaza uwanja wa Benjamini Mkapa kuwa uwanja watakaoutumia kama uwanja wao wa nyumbani katika mashindano yote kwa msimu wa mwaka 2025/26.

    Simba wamerejea kwenye uwanja huo ambao wamekuwa wakiutumia kama uwanja wa nyumbani kwa misimu mingi kabla ya msimu jana kuahamia KMC Complex ili kupisha marekebisho yaliyokuwa yanafanyika katika uwanja huo.

    Simba SC
    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleFADLU ATHIBITISHA KUONDOKA SIMBA, AWAAGA MASHABIKI KWA HESHIMA
    Next Article HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO SEPTEMBA 23, 2025

    Related Posts

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    April 8, 2026

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    April 8, 2026

    HATIMAE MIGUU IMEANZA KUMSALITI CHAMA

    April 7, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    HATIMAE MIGUU IMEANZA KUMSALITI CHAMA

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    MPANZU NA FEI TOTO WAKUTANA USO KWA USO KWENYE VITA YA ASSIST

    IBENGE ATANGAZA VITA JUU YA KIKOSI CHA SIMBA

    MBAPPE: NITACHEZEA TIMU YA TAIFA YA CAMEROON

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.