Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home » SIMBA INA MECHI NGUMU SANA KWENYE LIGI KULIKO YANGA
    KITAIFA

    SIMBA INA MECHI NGUMU SANA KWENYE LIGI KULIKO YANGA

    ChikaoBy ChikaoSeptember 2, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Mchambuzi wa soka @mzeewajambia ameandika ujumbe kuhusu kauli ya Kocha Mkuu wa Simba aliyoisema hivi karibuni ya kumuhitaji mchezaji mwingine kwenye eneo lake la ushambuliaji.

    “Juzi Fadlu Davids aliposema anahitaji xfactor Player mmoja ili Kikosi chake Kikamilike nafikiri hakueleweka Vizuri.

    Manake watu walianza Kusema Mbona ana Neo Maema,Elie Mpanzu na Bajaber? Ahoua?

    Lakini Fadlu anafahamu Vigezo vya sasa hivi ili uwe bingwa wa Ligi Kuu unahitaji Kuwa na Kikosi bora zaidi Kuliko Yanga Africa.

    Yani Kikosi chako Kikiwa sawa na au chini ya Yanga Africa ujue huna chako hapo.

    Kwasababu ni Ukweli Usiopingika Kwamba Kwenye Ligi Simba Sports anacheza Mechi nyingi ngumu Kuliko Yanga Africa”Ameandika @mzeewajambia .

    Simba SC Yanga SC
    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleMOURINHO AINGIZA BILIONI 300 KWA KUFUKIZWA
    Next Article HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO SEPTEMBA 3 2025

    Related Posts

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    April 19, 2026

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    April 19, 2026

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    April 19, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    REFA ATUMIA SIMU KAMA VAR

    SINGIDA BLACK STARS WAZIPIGA MKWARA SIMBA, YANGA NA AZAM FC

    BERNARDO AAGWA NA MAN CITY RASMI

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.