Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home » MOROCCO APEWA THANK YOU BAADA YA MECHI MOJA TU
    KITAIFA

    MOROCCO APEWA THANK YOU BAADA YA MECHI MOJA TU

    ChikaoBy ChikaoSeptember 29, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Klabu ya Simba SC imemtolea shukrani za dhati Kocha Hemed Suleiman ‘Morocco’ kwa kuiongoza timu hiyo katika mchezo muhimu wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Gaborone United.

    Kocha Morocco, ambaye ni Kocha Mkuu wa Taifa Stars, alijiunga na kikosi cha Simba kwa ruhusa maalum kutoka Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na kufanikiwa kukiongoza timu hiyo kupata ushindi muhimu uliowavusha hatua ya awali ya michuano hiyo.

    “Shukrani za dhati kwa Kocha Hemed Suleiman ‘Morocco’ kwa kuongoza kikosi chetu katika mchezo muhimu wa jana wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Gaborone United, na kufanikiwa kutuvusha”.

    “Shukrani pia kwa Shirikisho la Soka nchini (TFF) kwa kumruhusu Kocha Morocco ambaye ni Kocha wa Taifa Stars kujiunga nasi,” ilisomeka taarifa ya Simba SC kwenye ukurasa wao wa Instagram.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleFIFA YAIADHIBU AFRIKA KUSINI KWA KUMCHEZESHA MCHEZAJI ASIYE NA SIFA
    Next Article HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO SEPTEMBA 30, 2025

    Related Posts

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    April 19, 2026

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    April 19, 2026

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    April 19, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    REFA ATUMIA SIMU KAMA VAR

    SINGIDA BLACK STARS WAZIPIGA MKWARA SIMBA, YANGA NA AZAM FC

    BERNARDO AAGWA NA MAN CITY RASMI

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.