Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home » MKURUGENZI WA “CECAFA” ASIMAMISHWA KAZI
    KIMATAIFA

    MKURUGENZI WA “CECAFA” ASIMAMISHWA KAZI

    ChikaoBy ChikaoSeptember 25, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Baraza la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) limemsimamisha kazi Mkurugenzi Mtendaji wake, Auka Gecheo mara moja.

    Inafahamika kuwa Kamati ya Utendaji, ikiongozwa na Kaimu Rais Alexandre Muyenge, iliyokutana takriban tarehe 18 mwezi huu, iliazimia kwa kauli moja kumsimamisha Auka katika nafasi yake ya Mkurugenzi Mtendaji.

    CECAFA EXCO, hata hivyo, haikufichua sababu ya hatua hiyo, lakini inaeleweka Mkenya mwingine anatazamiwa kuchukua jukumu hilo.

    Auka amehudumu katika nafasi hiyo tangu kuteuliwa kwake Julai 2020, alipochukua nafasi ya Nicholas Musonye, ​​aliyekuwa Katibu Mkuu.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleHARRY KANE HUENDA AKAHAMIA MAN UNITED
    Next Article HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO SEPTEMBA 26, 2025

    Related Posts

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    April 7, 2026

    MBAPPE: NITACHEZEA TIMU YA TAIFA YA CAMEROON

    April 4, 2026

    TETESI: TIMU YA MESSI YAMFUKUZIA BERNARDO SILVA

    March 25, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    HATIMAE MIGUU IMEANZA KUMSALITI CHAMA

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    MPANZU NA FEI TOTO WAKUTANA USO KWA USO KWENYE VITA YA ASSIST

    IBENGE ATANGAZA VITA JUU YA KIKOSI CHA SIMBA

    MBAPPE: NITACHEZEA TIMU YA TAIFA YA CAMEROON

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.