Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home ยป MIRAMBO ATEULIWA KUWA KARIBU MKUU WA TFF
    KITAIFA

    MIRAMBO ATEULIWA KUWA KARIBU MKUU WA TFF

    ChikaoBy ChikaoSeptember 24, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limemteua Oscar Mirambo kuwa Kaimu Katibu Mkuu wa shirikisho hilo kuanzia Oktoba 1, 2025.

    Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo na Ofisa Habari na Mawasiliano wa TFF, Cliford Mario Ndimbo, uteuzi huo unakuja kufuatia kumalizika kwa mkataba wa aliyekuwa Katibu Mkuu, Kidao Wilfred, ambao unahitimishwa tarehe 30 Septemba 2025.

    Mirambo, ambaye kwa sasa ni Mkurugenzi wa Ufundi wa TFF, ataingia rasmi kwenye majukumu yake mapya mara tu mkataba wa Kidao utakapomalizika. Atasimamia shughuli zote za kila siku za Sekretarieti ya TFF hadi pale Kamati ya Utendaji ya TFF itakapotoa uamuzi mwingine kuhusu nafasi hiyo.

    TFF
    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleSERIKALI YATOA KAULI JUU YA SAKATA LA PAMBA JIJI KUFANYA MAZOEZI GIZANI
    Next Article MAYELE AANDIKA HISTORIA MPYA PYRAMID, BAADA YA KUIFUNGIA HAT-TRICK

    Related Posts

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    April 12, 2026

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    April 8, 2026

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    April 8, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    HATIMAE MIGUU IMEANZA KUMSALITI CHAMA

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    MPANZU NA FEI TOTO WAKUTANA USO KWA USO KWENYE VITA YA ASSIST

    IBENGE ATANGAZA VITA JUU YA KIKOSI CHA SIMBA

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.