Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home » MBOSSO AFUNGUKA ALMANUSURA AFARIKI KISA MAANDALIZI YA SIMBA DAY
    KITAIFA

    MBOSSO AFUNGUKA ALMANUSURA AFARIKI KISA MAANDALIZI YA SIMBA DAY

    ChikaoBy ChikaoSeptember 15, 202502 Mins Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Staa wa muziki wa bongefleva Mbosso Khan amewashukuru mashabiki,wanachama na viongozi wa Simba kwa kupata nafasi ya kutumbuiza kwenye tamasha la Simba Day huku akiweka wazi almanusura apoteze uhai wake.

    “Barua Kwa Uongozi na Mashabiki Wa Simba Sports Club @simbasctanzania

    Asanteni Sana Kwa kuniamini na kwa kunipa nafasi hii adhimu ambayo mngeweza kumpa mtu yoyote mumtakae na badala yake mkanichagua mimi kuwa headliner wa tamasha hili kubwa la kihistoria SIMBA DAY.

    Kwangu mimi hili ni tamasha langu kubwa la kwanza kuwahi kulifanya la uwanjani linalohusiana na mpira wa miguu katika maisha yangu ya mziki , ndo maana nilichagua kufanya kila lililo ndani ya uwezo wangu ili kuhakikisha nawapa furaha mashabiki na wadau wa Simba Sports Club

    Ndo Maana Kwangu halikuwa tu tamasha, bali niliona kama Platform Ya Kuonyesha Sehemu Ya Vipaji Ambavyo Mwenyezi Mungu Amenijaalia na pengine hamkuwahi kuviona hapo awali mfano Kuigiza kwa Uhalisia Wa Daraja la Juu , kuimba na Vengine ambavyo Viliwavutia.. ( Almanusuru Nitoe Uhai Kwenye Kuandaa Furaha Kwa Wana Simba 🥹 )

    Siwezi Kusema ni kiasi gani cha Pesa nimetumia kwenye hili ila fahamu kila nilichofanya ni kwa Sababu Ya Mapenzi Yangu Makubwa na Club Yangu Hii Pendwa Ya Simba Sports Club

    Nina imani Mlifurahi Na Kama kuna Sehemu nilikosea au Palikuwa na Mapungufu Naomba Mnisamehe Sababu Mimi ni Mwanadamu Siwezi Fanya Vyote Kwa Ukamilifu”

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleFADLU ASEMA YANGA NDIO WANA HOFU KULIKO SIMBA
    Next Article BAJABER NA ALASSANE KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA YANGA

    Related Posts

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    April 19, 2026

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    April 19, 2026

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    April 19, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    REFA ATUMIA SIMU KAMA VAR

    SINGIDA BLACK STARS WAZIPIGA MKWARA SIMBA, YANGA NA AZAM FC

    BERNARDO AAGWA NA MAN CITY RASMI

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.