Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home ยป MAKOCHA WA MAN CITY & LIVERPOOL WAJIANA JUU KISA MCHEZAJI BORA
    KIMATAIFA

    MAKOCHA WA MAN CITY & LIVERPOOL WAJIANA JUU KISA MCHEZAJI BORA

    ChikaoBy ChikaoSeptember 13, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    man city
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Pep Guardiola amepinga madai ya kocha wa Liverpool Arne Slot kwamba mchezaji wake mpya Alexander Isak ya kwamba ndiye mshambuliaji bora zaidi duniani, huku akisema anamuweka mshambuliaji wa Manchester City Erling Haaland juu kidogo ya Isak.

    Guardiola aliongea hayo jana Ijumaa alipokuwa akijibu maswali ya waandishi waliotaka kujua mtazamo wake kwenye kuwalinganisha Haaland dhidi ya Isak.

    “Isak ni mchezaji wa kipekee lakini ukiniuliza kuhusu Haaland naona yuko juu kidogo ya Isak” alisema kocha huyo wa kihispania.

    Liverpool FC Manchester City
    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleHILI NDIO TAMASHA LILIPENDEZA ZAIDI, KATI YA SIMBA DAY NA YANGA DAY
    Next Article ARTETA: BUKAYO SAKA NA SALIBA HAWATAKI KUONDOKA ARSENAL

    Related Posts

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    April 7, 2026

    MBAPPE: NITACHEZEA TIMU YA TAIFA YA CAMEROON

    April 4, 2026

    TETESI: TIMU YA MESSI YAMFUKUZIA BERNARDO SILVA

    March 25, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    HATIMAE MIGUU IMEANZA KUMSALITI CHAMA

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    MPANZU NA FEI TOTO WAKUTANA USO KWA USO KWENYE VITA YA ASSIST

    IBENGE ATANGAZA VITA JUU YA KIKOSI CHA SIMBA

    MBAPPE: NITACHEZEA TIMU YA TAIFA YA CAMEROON

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.