Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home » LAMINE YAMAL ATOA NENO KWENYE TUZO YA DEMBELE
    KIMATAIFA

    LAMINE YAMAL ATOA NENO KWENYE TUZO YA DEMBELE

    ChikaoBy ChikaoSeptember 23, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    lamine yamal
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Nyota wa Barcelona raia wa Hispania na mshindi wa tuzo ya mchezaji bora kijana kwa msimu wa pili mfululizo Lamine Yamal amempongeza mshindi wa tuzo ya Ballon d’Or usiku wa jana Ousmane Dembele kwa kufanikiwa kushinda tuzo hiyo ya mchezaji bora wa Dunia 2025.

    Lamine ametoa pongezi hizo kupitia ukurasa wake wa Instagram akiandika ujumbe wa shukrani kwa tuzo aliyoitwaa mara ya pili huku akiambatanisha na pongezi hizo kwa staa huyo wa PSG.

    “Mpango wa Mungu ni Mkamilifu na ni lazima upande ili kufika kileleni,Nimefurahia kushinda tuzo ya Kop mara ya pili na nampongeza Ousmane Dembele kwa tuzo hiyo na msimu mzuri”Ameandika Lamine.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleMWAMNYETO ASEMA KILICHOTOKEA ANGOLA KITAWAKUTA NA PAMBA
    Next Article HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO SEPTEMBA 24, 2025

    Related Posts

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    April 7, 2026

    MBAPPE: NITACHEZEA TIMU YA TAIFA YA CAMEROON

    April 4, 2026

    TETESI: TIMU YA MESSI YAMFUKUZIA BERNARDO SILVA

    March 25, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    HATIMAE MIGUU IMEANZA KUMSALITI CHAMA

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    MPANZU NA FEI TOTO WAKUTANA USO KWA USO KWENYE VITA YA ASSIST

    IBENGE ATANGAZA VITA JUU YA KIKOSI CHA SIMBA

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.