Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home ยป KOCHA MAN U ASEMA HATA PAPA HAWEZI MFANYA ABADILI MFUMO
    KIMATAIFA

    KOCHA MAN U ASEMA HATA PAPA HAWEZI MFANYA ABADILI MFUMO

    ChikaoBy ChikaoSeptember 21, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    man u
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Kocha wa Manchester United Ruben Amorim anasema ana matumaini ya kupata muda wa kuonyesha jinsi mfumo wake utakavyobadilika, lakini anasisitiza hata Papa hataweza kumfanya abadilishe mfumo wake.

    Mojawapo ya shutuma za kocha huyo Mreno ni kwamba ameng’ang’ana mno na mfumo wake wa 3-4-3 na anapaswa kubadilika.

    Hata hivyo kocha huyo mwenye umri wa miaka 40 alikiri kuwa ana wasiwasi na kile wachezaji watafikiria ikiwa ataamua kubadili mfumo.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleHAYA HAPA MAGAZETI YA LEO SEPTEMBA 21 2025
    Next Article BARCELONA KUMNUNUA KANE KWA EURO MILIONI 50

    Related Posts

    REFA ATUMIA SIMU KAMA VAR

    April 17, 2026

    BERNARDO AAGWA NA MAN CITY RASMI

    April 16, 2026

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    April 7, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    REFA ATUMIA SIMU KAMA VAR

    SINGIDA BLACK STARS WAZIPIGA MKWARA SIMBA, YANGA NA AZAM FC

    BERNARDO AAGWA NA MAN CITY RASMI

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.