Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home » KINDA WA AJAX AVITOA UDENDA VILABU VIKUBWA DUNIANI
    KIMATAIFA

    KINDA WA AJAX AVITOA UDENDA VILABU VIKUBWA DUNIANI

    ChikaoBy ChikaoSeptember 9, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Ajax
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Kinda wa Klabu ya Ajax, Aaron Bouwman anaripotiwa kuvivutia vilabu vikubwa duniani.

    Kwa mujibu wa taarifa, kinda huyo mwenye umri wa miaka 18 anafuatiliwa na Chelsea, Manchester United, Barcelona, ​​Liverpool na Manchester City.

    Beki huyo wa kati alijiunga na Ajax mwaka 2018 na akacheza kwa mara ya kwanza Jong Ajax (timu ya pili ya Ajax) kwenye msimu wa 2023-24.

    Baada ya kuwachezea mechi 15, kijana huyo ambaye ana baba Mholanzi na mama Mjamaika, amefuzu kwenye kikosi cha kwanza cha Ajax.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleMAGORI AAHIDI KUIRUDISHA HESHIMA YA SIMBA
    Next Article UGANDA CRANES YAZIDI KUSHUSHA PRESHA KWA ALGERIA KUNDI G

    Related Posts

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    April 7, 2026

    MBAPPE: NITACHEZEA TIMU YA TAIFA YA CAMEROON

    April 4, 2026

    TETESI: TIMU YA MESSI YAMFUKUZIA BERNARDO SILVA

    March 25, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    HATIMAE MIGUU IMEANZA KUMSALITI CHAMA

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    MPANZU NA FEI TOTO WAKUTANA USO KWA USO KWENYE VITA YA ASSIST

    IBENGE ATANGAZA VITA JUU YA KIKOSI CHA SIMBA

    MBAPPE: NITACHEZEA TIMU YA TAIFA YA CAMEROON

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.