Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home » JKT QUEENS WAKABIDHIWA BENDERA KUIWAKILISHA NCHI KIMATAIFA
    KITAIFA

    JKT QUEENS WAKABIDHIWA BENDERA KUIWAKILISHA NCHI KIMATAIFA

    ChikaoBy ChikaoSeptember 1, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    JKT Queens
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro، Nurdin Babu (Kulia) akimkabidhi bendera ya Taifa Kanali Geoffrey Mvula (kushoto) Mwenyekiti wa timu za JKT katika hafla ya kuiga timu ya JKT Queens FC kuelekea kwenye mashindano ya CECAFA، Nairobi nchini Kenya.

    Hafla hiyo imefanyika mjini Moshi ambapo JKT Queens iliweka kambi kwa ajili ya maandalizi ya mashindano hayo yaliyopangwa kuanza 4 Septemba 2025.

    JKT Queens imeondoka leo kutoka mjini Moshi 1 Septemba 2025 kuelekea Nairobi، Kenya kushiriki mashindano hayo.

    JKT Queens
    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleTIMES FM KUTANGAZA MUBASHARA KAGAME CUP
    Next Article ALEXANDER ISAK NI SUALA LA MUDA KUTAMBULISHWA LIVERPOOL

    Related Posts

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    April 12, 2026

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    April 8, 2026

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    April 8, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    HATIMAE MIGUU IMEANZA KUMSALITI CHAMA

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    MPANZU NA FEI TOTO WAKUTANA USO KWA USO KWENYE VITA YA ASSIST

    IBENGE ATANGAZA VITA JUU YA KIKOSI CHA SIMBA

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.