Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home » HAWA HAPA WAAMUZI WA MCHEZO WA KARIAKOO DABI YA SEPT 16
    KITAIFA

    HAWA HAPA WAAMUZI WA MCHEZO WA KARIAKOO DABI YA SEPT 16

    ChikaoBy ChikaoSeptember 15, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    kariakoo dabi
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    JOTO la Kariakoo Dabi linazidi kupanda kwa kasi ambapo watani hawa wa jadi wanatarajiwa kukutana Uwanja wa Mkapa, Septemba 16 2025 katika mchezo wa fainali.

    Ofisa Habari wa Shirikisho la Soka Tanzania, Cliford Ndimbo ametaja orodha ya waamuzi ambao watakuwa kwenye mchezo huo muhimu wa ufunguzi wa msimu mpya wa 2025/26.

    Ikumbukwe kwamba waamuzi hao watakabidhiwa vifaa vya kazi kutoka JustFit ambao wamebainisha kuwa watatoa na mipira maalumu kwa ajili ya mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara.

    Hawa hapa waamuzi wa  Kariakoo Dabi, Septemba 16 2025, Ngao ya Jamii namna hii:-Mwamuzi wa kati ni Ahmed Arajiga, mwamuzi msaidizi ni Mohamed Mkono, mwamuzi msaidizi namba 2 ni Kassim Mpanga, mwamuzi wa akiba ni Ramadhani Kayoko na mtathimini waamuzi ni Soud Abdi.

    Mchezo wa mwisho wababe hawa wawili kukutana ilikuwa ni Juni 25 2025 katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara ya NBC.

    BONYEZA HAPA KU DOWNLOAD NYIMBO ZA MPYA ZA GOSPEL KILA SIKU

    Simba SC Yanga SC
    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleHUYU HAPA MTANZANIA WA KWANZA KUPATA MEDALI YA DHAHABU
    Next Article Habari Kubwa Katika Magazeti ya Tanzania leo Septemba 16, 2025

    Related Posts

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    April 19, 2026

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    April 19, 2026

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    April 19, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    REFA ATUMIA SIMU KAMA VAR

    SINGIDA BLACK STARS WAZIPIGA MKWARA SIMBA, YANGA NA AZAM FC

    BERNARDO AAGWA NA MAN CITY RASMI

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.