Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home » FIFA YAIADHIBU AFRIKA KUSINI KWA KUMCHEZESHA MCHEZAJI ASIYE NA SIFA
    KITAIFA

    FIFA YAIADHIBU AFRIKA KUSINI KWA KUMCHEZESHA MCHEZAJI ASIYE NA SIFA

    ChikaoBy ChikaoSeptember 29, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) imetoa adhabu kwa Chama cha Soka cha Afrika Kusini (SAFA) baada ya kubainika kumchezesha Teboho Mokoena, mchezaji asiye na sifa za kushiriki, katika mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Lesotho uliochezwa mwezi Machi mwaka huu.

    Kwa mujibu wa uamuzi huo, Afrika Kusini imenyang’anywa ushindi wake na sasa itaorodheshwa kupoteza mchezo huo kwa mabao 3-0. Aidha, SAFA imelazimika kulipa faini ya CHF 10,000 (takribani shilingi milioni 29 za Kitanzania) kwa FIFA.

    FIFA imeipa SAFA siku 10 kuanzia tarehe ya kutolewa kwa uamuzi huu ili kukata rufaa endapo itaridhika kwamba uamuzi huo si sahihi.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleTAKWIMU ZA KELVIN JOHN HUKO DENMARK
    Next Article MOROCCO APEWA THANK YOU BAADA YA MECHI MOJA TU

    Related Posts

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    April 12, 2026

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    April 8, 2026

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    April 8, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    HATIMAE MIGUU IMEANZA KUMSALITI CHAMA

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    MPANZU NA FEI TOTO WAKUTANA USO KWA USO KWENYE VITA YA ASSIST

    IBENGE ATANGAZA VITA JUU YA KIKOSI CHA SIMBA

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.