Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home » FADLU ASEMA YANGA NDIO WANA HOFU KULIKO SIMBA
    KITAIFA

    FADLU ASEMA YANGA NDIO WANA HOFU KULIKO SIMBA

    ChikaoBy ChikaoSeptember 15, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    fadlu simba
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Kocha Mkuu wa Simba amezungumza na waandishi wa habari kuelekea mchezo wa kesho wa dabi ya kariakoo huku akiweka wazi hawana presha ya mchezo huo ila Yanga ndiyo wenye presha.

    “Sisi tuna faida ya kuwa na benchi lilelile la ufundi lakini tuna wachezaji wapya ambao tunao kwa wiki kama tatu hadi nne na tumekuwa na mazoezi ya pamoja kwa siku chache na waliopo CHAN hivyo naamini tuko vizuri.

    Lakini presha kubwa ipo kwa Yanga kwasababu wana makocha wapya ambao hawajawahi kucheza hii dabi lakini pia presha ya muendelezo wa matokeo yao lakini kwetu hatuna presha kwasababu benchi ni lile lile na wachezaji wapya wanaonekana kuuhitaji mchezo tukichanganya na wazoefu tutakuwa na ‘balance’ nzuri” – Fadlu Davids, Kocha Simba SC

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleYAMEBAKI MASAA KUELEKEA DABI YA KARIAKOO
    Next Article MBOSSO AFUNGUKA ALMANUSURA AFARIKI KISA MAANDALIZI YA SIMBA DAY

    Related Posts

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    April 19, 2026

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    April 19, 2026

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    April 19, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    REFA ATUMIA SIMU KAMA VAR

    SINGIDA BLACK STARS WAZIPIGA MKWARA SIMBA, YANGA NA AZAM FC

    BERNARDO AAGWA NA MAN CITY RASMI

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.