Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home » BAJABER NA ALASSANE KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA YANGA
    KITAIFA

    BAJABER NA ALASSANE KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA YANGA

    ChikaoBy ChikaoSeptember 15, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Kocha Mkuu wa Simba Fadlu Davids amethibitisha kuwa siku ya kesho watawakosa wachezaji wawili katika mchezo wa ngao ya jamii dhidi ya Yanga wachezaji hao ni Mohamed Bajaber na Alassane Kante.

    “Bajaber ana majeraha, Allasane Kante naye pia aliumia kwenye pre season hivyo hao wawili wataukosa mchezo wa Yanga lakini Semfuko naye alikuwa ana majeraha japo amerejea mazoezini sasa hivyo yeye anaweza kuwepo kwenye mchezo huo ” – Fadlu Davids, Kocha Simba SC.

    Simba SC
    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleMBOSSO AFUNGUKA ALMANUSURA AFARIKI KISA MAANDALIZI YA SIMBA DAY
    Next Article HUYU HAPA MTANZANIA WA KWANZA KUPATA MEDALI YA DHAHABU

    Related Posts

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    April 12, 2026

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    April 8, 2026

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    April 8, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    HATIMAE MIGUU IMEANZA KUMSALITI CHAMA

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    MPANZU NA FEI TOTO WAKUTANA USO KWA USO KWENYE VITA YA ASSIST

    IBENGE ATANGAZA VITA JUU YA KIKOSI CHA SIMBA

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.