Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home ยป ARTETA: BUKAYO SAKA NA SALIBA HAWATAKI KUONDOKA ARSENAL
    KIMATAIFA

    ARTETA: BUKAYO SAKA NA SALIBA HAWATAKI KUONDOKA ARSENAL

    ChikaoBy ChikaoSeptember 13, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    bukayo
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Kocha wa Arsenal Mikel Arteta anasema mazungumzo ya kandarasi za Bukayo Saka na William Saliba yanakwenda vizuri.

    Wachezaji hao wawili muhimu wa Arsenal mikataba yao inategemewa kutamatika 2027, na sasa Washika Bunduki hao wa jiji la London wapo kwenye majadiliano mazito na wachezaji hao ili waweze kuwaongezea mikataba.

    “Nadhani jambo zuri ni kwamba wachezaji wanataka kubaki hapa na wanataka kuwa sehemu kubwa ya historia ya klabu hii katika miaka michache ijayo na hilo ni jambo jema.” alisema Arteta

    Arsenal FC
    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleMAKOCHA WA MAN CITY & LIVERPOOL WAJIANA JUU KISA MCHEZAJI BORA
    Next Article Yanga SC vs Simba SC zimebaki siku tatu

    Related Posts

    REFA ATUMIA SIMU KAMA VAR

    April 17, 2026

    BERNARDO AAGWA NA MAN CITY RASMI

    April 16, 2026

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    April 7, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    REFA ATUMIA SIMU KAMA VAR

    SINGIDA BLACK STARS WAZIPIGA MKWARA SIMBA, YANGA NA AZAM FC

    BERNARDO AAGWA NA MAN CITY RASMI

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.